NYOTA wa Kitanzania, Athuman Masumbuko 'Makambo' amesema amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya SC Viktoria ...
VINARA na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, wanatarajiwa kuzindua Uwanja wao mpya wa Singida Black Stars uliopo Mtipa ...
Orodha ina marefa 17 wa kati, 18 wa pembeni na 10 ambao wataongoza teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR).
UKIZIWEKA kando Simba na Yanga zilizocheza mechi 22 kila moja, timu zingine zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu huu zimeshuka ...
MABAO mawili aliyoyafunga kiungo nyota mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, juzi katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dodoma ...
BEKI wa Simba Chamou Karaboue amewashusha presha mashabiki wa klabu hiyo, hata kama Che Malone Fondoh hatakuwepo lakini ...
BAYERN Munich imeanza tena kuonyesha nia ya kutaka kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico ...
TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls, leo jioni imeondoshwa kwenye mashindano ya kufuzu Kombe la ...
IDADI ya watu wanaotumia vipodozi hapa nchini ni kubwa hasa kwa wanawake. Hata hivyo, wanaume nao baadhi wamekuwa wakitumia ...
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema katika mipango yake msimu ujao, kuhusu usajili anataka wachezaji wenye uwezo mkubwa ...
KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi anatarajiwa kuuwahi mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa ...
BAADA ya kuonyesha uwezo wake ndani ya dakika 66 alizopewa winga mpya wa Yanga, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’, kocha ...