Orodha ina marefa 17 wa kati, 18 wa pembeni na 10 ambao wataongoza teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR).
Katika mchezo huo, Clara Luvanga anayeitumikia timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ alifunga bao moja kati ya ...
Wananchi wamesema ili CCM kijihakikishie ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 lazima zitatuliwe.
Geita. Mauaji ya wanawake yanayotokana na matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani Geita yamepungua kutoka vifo 37 mwaka 2023 ...
Dodoma. Serikali imelalamikiwa kutowashirikisha wakulima kwenye maandalizi ya bajeti zake kuanzia ngazi ya chini na badala ...
Naomi aliuawa na mumewe, Hamis Luwongo, kisha akauchoma mwili kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku.
Dodoma. Wakati ugonjwa wa Mpox ukiendelea kustua nchini na tahadhali mbalimbali zikiendelea kutolewa ni ukayajua makundi ...
Kutokana na mabadiliko ya mahitaji ya soko la ajira, elimu ya ufundi stadi imeanza kupewa kipaumbele kama suluhisho la tatizo hili.
Dk Bakari amesema upimaji huo pia pia unalenga kuwajengea imani watumiaji wa vifaa hivyo simu za mkononi, vishikwambi na ...
Kwa sasa Tanzania inahamasisha matumizi gesi ya kupikia, ikitekeleza mkakati kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wanahamia ...
Kwa miaka mingi, Mzee Ndanga amejiwekea utaratibu wa kufuatilia habari za ndani na nje, akisema anapenda zaidi kusoma habari ...