Mwaka uliopita msanii huyu alitoa albamu yake ya uzinduzi I AM Zuchu na pia aliingia kandarasi na Lebo ya kurekodi muziki ya WCB Wasafi. Kulingna na programu ya kucheza muziki ya Boomplay , Albamu ...