KRISMASI ni kipindi kinachochangamsha mioyo kwa furaha, upendo na matumaini kwa waumini wa dini ya Kikristo nchini na duniani ...
Hayati Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi aliyefariki dunia ghafla tarehe 8 Juni, atakumbukwa miongoni mwa mambo mengine kama kwa ''uongozi uliotawaliwa na itikadi za kikristo''. Lakini je ...