Chanzo cha picha, Anthony Asael/Art in All of Us Mamlaka za mitihani nchini Tanzania zinataka hatua mahususi zichukuliwe katika ufundishaji wa somo la Hisabati na masomo mengine yanayohusisha hesabu.
Zikiwa zimesalia takribani siku kumi na saba kabla ya kuanza kwa mitihani ya kitaifa, washikadau wa sekta ya elimu kesho watafanya mkutano kujadili namna ya kuzuia udanganyifu katika mitihani hiyo, ...
Ni muhitimu wa kidato cha nne aliyeongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa akielezea baadhi ya mbinu alizozitumia kuhakikisha anapata ufaulu wa juu na kuibuka kidedea katika mitihani ya kumaliza ...
Shirika lisilo la kiserikali la haki elimu nchini Tanzania limesema kuwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne sio ya kujivunia kutokana na zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata ufaulu wa daraja la nne na ...
Zaidi ya asilimia 60 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha cha nne nchini Tanzania wamepata sifuri. Kwa mujibu wa serikali ya Tanzania idadi hiyo sawa na Watahiniwa 240,903 ya wanafunzi wote.
(Dar es Salaam, 14, Februari 2017) – Zaidi ya asilimia 40 ya vijana wa Tanzania hawapati elimu bora ya awamu ya kwanza ya sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne), mbali na uamuzi chanya wa serikali ...
Matayarisho ya Mitihani ya Kitaifa ya Darasa la Nane yamekamilika huku mitihani hiyo ikitng'oa nanga rasmi. Rais Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa wananchi na wanasiasa kudumisha mazingira bora ili ...