"Ni jambo la kawaida kwa watu wengi wenye ulemavu kukutana na ushawishi wa kutaka kuombewa hali yao ya ulemavu kama mimi. Mara kadhaa nmekutana na wakristo ambao walikuwa wanataka kuniombea ili nipone ...